Wizara ya Elimu ya Tanzania Yaweka Viwango Vipya vya Ufaulu Kidato cha Nne
13/01/2018 Education
Wizara ya Elimu Nchini Tanzania imeweka viwango vipya vya ufaulu kidato cha nne kuanzia mwaka wa masomo wa 2018.
DIV. 1= 7-13
DIV. 2=14-18
DIV. 3=19-22
DIV. 4=23-27
DIV. 0=28-35
HIYO NI KWA MUJIBU WA WAZIRI WA ELIMU LEO JOYCE NDALICHAKO.
AMESEMA ITAANZA KUTUMIKA MWAKA 2018 KWA FORM TWO NA FORM FOUR .
Comments
Comments, Feedback or Questions