UTARATIBU WA KULIPA TRA ROAD LICENCE:


09/09/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Mobile Transactions


IN KISWAHILI

  1. Kufahamu kiwango cha kodi. Tuma ujumbe wenye neno ?Kadiria? au ?Assess? acha nafasi andika namba za gari mfano KADIRIA T765AAU kwenda namba 15341.
  2. Kujisajili: Tuma ujumbe wenye neno; ?sajili? acha nafasi na kuandika namba ya gari husika mfano SAJILI T765AAU. Tuma ujumbe huo kwenda namba 15341. Baada ya hapo mlipakodi atapata ujumbe namba ya kumbukumbu ya malipo (Reference number).
  3. Fanya malipo kwa kutumia TIGOPESA, M-PESA, AIRTELMONEY, Benki ya CRDB au wakala MAXMALIPO kwa kutumia namba ya kumbukumbu uliyopata. Namba za Kampuni ni TIGO-PESA na M-PESA ni 800600. AIRTEL-MONEY ni TRAMAGARI.
  4. Kuchukua kadi: (stika ya gari): nenda katika ofisi yoyote ya TRA ukiwa na namba ya kumbukumbu uliyoitumia kufanya malipo.
Comments