Godwin Ombeni ni Mwimbaji wa njimbo za injili na ameshatoa album nyingi za kumsifu na kumwabudu Mungu. Album ya Uinuliwe ameimba akiwa pamoja na Kikundi cha uimbaji cha RUACH WORSHIP TEAM kutoka .

Katika album ya Uinuliwe kuna Nyimbo zifuatazo
Nionapo Amani Kama Shwari
Yesu Mfalme
Anaweza
Twakupa Utukufu
Uinuliwe
Bwana Umeinuliwa
Mji wa Mwangaza
Wewe ni Alfa na Omega
Kwa Yote

Msambazaji mkuu ni:
Mhubiri Productions
Haki miliki:
RUACH WORSHIP TEAM