Tangazo la Nafasi za Masomo Elimu ya Madini, Mafuta na Gesi 2015/16
09/09/2017 Education
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
Uongozi wa chuo cha madini Shinyanga (ESIS) unakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa ili kusoma kozi za diploma ya madini, gesi na mafuta
Kozi zitolewazo:
- Utafutaji na Jiolojia ya Uchimbaji wa Madini (Exploration and Mining Geology)
- Utafutaji wa Mafuta na Gesi (Petroleum Geology)
- Chuo kipo ndani ya mgodi wa Mwadui na kimesajiliwa na NACTE kwa namba ya usajili reg/eos/041.
- Sifa za Mwombaji: Awe amemaliza kidato cha nne kwa ufaulu wa angalau D ya masomo manne
- Fomu za maombi zinapatikana katika tovuti ya chuo, ofisi za chuo zilizopo Ndala-Shinyanga, Chuo Kikuu Huria-Shinyanga, Mwadui, Vituo maalum zilizoko Mwanza na Arusha
- Nafasi za hostel zipo kwa watakaowahi kuomba
- Mwisho wa kutuma maombi ni 30 Mei 2015
- Masomo yanatarajiwa kuanza tarehe 10/08/2015.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na chuo, Simu: 0785163274/ 0769426401. Au tuandikie email: [email protected] AU tembelea tovuti ya chuo www.esis.ac.tz
Wote mnakaribishwa sana
Comments
Comments, Feedback or Questions