Shamaba lenye ekari 2 linauzwa jijini Arusha, Tanzania. Karibu na VETA, Kijiji, Laroi, Kata: Muriet, Wilaya: Arusha, Umeme na maji zipo, Bei ya kuanzia: 30M
...
Kuna nyumba moja kubwa na moja ndogo inakodishwa/pangishwa na zinafaa kwa nyumba ya kuishi au ofisi katika maeneo ya sekei, kilomita 2 hivi kutoka Sanawari.
...
Godwin Ombeni ni Mwimbaji wa njimbo za injili na ameshatoa album nyingi za kumsifu na kumwabudu Mungu. Album ya Uinuliwe ameimba akiwa pamoja na Kikundi cha uimbaji cha RUACH WORSHIP TEAM kutoka jijin...