Mmoja ya mteja wetu anategemea kumuajiri ?mhasibu mwenye uwezo, kujituma, kupenda kazi ya uhasibu. Awe na sifa zifuatazo:
Sifa: Awe na stashahada ya juu au inayofanana na hiyo
Uzoefu: Si chini ya mwaka mmoja
Kituo cha kazi: Karatu, Arusha, Tanzania
Mishahara: 1m (utategemea elimu na uzoefu)
Kuanza kazi: Mapema Julai 2012
Usaili: ?kupitia simu, skype au nk.)