MAELEZO YA KULIPIA ANKARA YA MAJI [AUWSA] KWA M-PESA
09/09/2017 Mobile Transactions
KWA KISWAHILI
1. PIGA *150*00#
2. CHAGUA [4] MALIPO
3. CHAGUA [3] CHAGUA KWENYE ORODHA
4. CHAGUA HUDUMA [6] MALIPO YA MAJI
5. CHAGUA KAMPUNI [4] AUWSA
6. WEKA NAMBA YA KUMBUKUMBU YA MALIPO [AKAUNTI NAMBA YAKO]
7. INGIZA KIASI CHA PESA UNACHOTAKA KULIPA
8. INGIZA NAMBA YA SIRI
9. HAKIKI KWA KUPIGA [1]
NB: KAMA UMEKOSEA KUINGIZA AKAUNTI NAMBA KWA M-PESA FANYA YAFUATAYO:-
ANDIKA NENO RUDIA KISHA ACHA NAFASI ANDIKA AKAUNTI NAMBA YAKO SAHIHI TUMA KWENDA 15341
Ili kufanikisha muhamala huu; ni sharti uwe na muda wa maongezi wa shilingi 200/= kwenye simu yako na si kwenye M – Pesa
Comments
Comments, Feedback or Questions