M- kwa kutumia Lipa kwa

  1. sehemu kupigia simu andika *150*00# na ubofye kidude cha kupigia simu
  2. Chagua 4 kulipa kwa
  3. Chagua 4 kuweka namba kampuni – Tafadhali weka namba ya kampuni ( No. = 900500)
  4. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo – Tumia akaunti namba ya ya itakayopokea
  5. Weka kiasi – Weka kiasi kwa tarakimu tu
  6. Weka namba ya siri ya akaunti ya
  7. Bonyeza 1 kuthibitisha

Subiri ujumbe VodaCom na CRDB wa kukujulisha kama muamala wako umefanikiwa na kama haujafanikiwa rudia tena kwa kuanza na hatua ya kwanza hapo juu

Pesa M-PESA ya CRDB kwa kutumia Huduma Kifedha

  1. sehemu ya kupigia simu andika *150*00# na ubofye kidude cha kupigia simu
  2. Chagua namba 6 Huduma Kifedha
  3. Chagua namba 2 M-PESA Benki
  4. Chagua orodha ya mabenki namba moja (1) kwa maana ya CRDB
  5. Chagua moja (1) Weka namba ya akaunti
  6. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (namba ya akaunti ya benki ndiyo namba ya kumbukumbu ya malipo)
  7. Weka kiasi cha malipo
  8. Weka namba ya siri
  9. Bonyeza 1 kuthibitisha

Subiri ujumbe kutoka VodaCom na CRDB wa kukujulisha kama muamala wako umefanikiwa na kama haujafanikiwa rudia tena kwa kuanza na hatua ya kwanza hapo juu