GLORIA MUNHAMBO: SONG NO 7: BARAKA NYINGI,BARAKA KUTOKA JUU


07/09/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Uncategorized


 

GLORIA MUNHAMBO: SONG NO 7: BARAKA NYINGI,BARAKA KUTOKA JUU

 

Solo: Kutakuwa na Baraka,hilo ni neno lake

 

         Mungu atanyesha mvua,juu ya  nchi tenaa

 

CHORUS:

 

Wote: Baraka nyingi,Baraka kutoka juu,

 

            Mungu atanyesha mvua, ni mvua Baraka x 2

 

Solo: Kutakuwa na Baraka, tukimjua na kumtii

 

         Tukifuata njia zake,atatuburudisha

 

CHORUS:

 

Wote: Baraka nyingi,Baraka kutoka juu,

 

            Mungu atanyesha mvua, ni mvua Baraka x 2

 

Solo: Kutakuwa na Baraka,ndani ya makanisa

 

          Watu waliopotea,watamrudia Mungu

 

CHORUS:

 

Wote: Baraka nyingi,Baraka kutoka juu,

 

            Mungu atanyesha mvua, ni mvua Baraka x 2

 

Solo: Kutakuwa na Baraka, kwa mtu mmoja mmoja

 

         Shetani alivyoiba,tarudi maradufu

 

CHORUS:

 

Wote: Baraka nyingi,Baraka kutoka juu,

 

            Mungu atanyesha mvua, ni mvua za Baraka x 2

 

 

 

Comments