GLORIA MUNHAMBO: SONG NO 4: UTUKUFU NI WAKO, MAMLAKA NI YAKO
CHORUS:
Wote: Utukufu ni wako,mamlaka ni yako,
Na heshima nakupa,milele utukuzwe x 3
Solo: Nikitazama kazi za uumbaji wako
Moyo wafurahia,tena wakutukuza x 2
CHORUS:
Wote: Utukufu ni wako,mamlaka ni yako
Na heshima nakupa,milele utukuzwe x 2
Solo: Wema fadhili zako, zanifuata mimi,
Baraka za Sayuni, zimo nami milele
CHORUS:
Wote: Utukufu ni wako,mamlaka ni yako
Na heshima nakupa,milele utukuzwe x 2
Solo: Umetenda makuu,kwa mmoja mmoja,
Na bado unatenda,Baba nakutukuza x 2
CHORUS:
Wote: Utukufu ni wako,mamlaka ni yako
Na heshima nakupa,milele utukuzwe x 2
Solo: Moyo na mwili wangu,vyakusifu ee Mungu,
Hata na nafsi yangu yakuabudu Mungu x 2
CHORUS:
Wote: Utukufu ni wako,mamlaka ni yak0
Na heshima nakupa,milele utukuzwe x 3