GLORIA MUNHAMBO: SONG NO 10: UTAONA MAAJABU
Wote: Tumesoma mengi,juu ya Bwana Yesu ,upendo wake,ishara zake
??????????? Na usome tena , ukamwombe Bwana, na utaona maajabu
CHORUS
Wote: Hata leo,yanatokea,tunapoomba? kwa imani
???????????? Tuombe tu ,atusikia, na tutaona maajabu x 2
Wote: Jamaa wa Naini,wakosa imani, wafadhaika , wahuzunika
??????????? Bali Bwana Yesu , kafanya ajabu, aliyekufa kafufuka
CHORUS
Wote: Hata leo ? Solo: Hata leo
Wote: Yanatokea ? Solo: Yanatokea
Wote: Tunapoomba ?Solo: Tunapoomba
Wote: Kwa imani – Solo: Kwa imani
Wote: Tuombe tu ? Solo: Tuombe tu
Wote: Atusikia ? Solo: Atusikia
Wote : Na tutaona? – Solo: Na tutaona
Wote: Maajabu x2
3. Nalimwomba Mungu,Nikapata jibu,na jambo hili ni la fadhili
?? Usikate tamaa, ukamwombe Bwana, na utaona maajabu
CHORUS
Wote: Hata leo ? Solo: Hata leo
Wote: Yanatokea ? Solo: Yanatokea
Wote: Tunapoomba ?Solo: Tunapoomba
Wote: Kwa imani – Solo: Kwa imani
Wote: Tuombe tu ? Solo: Tuombe tu
Wote: Atusikia ? Solo: Atusikia
Wote : Na tutaona? – Solo: Na tutaona
Wote: Maajabu x2
MANENO
Haleluya , tukiomba Mungu anasikia, na tutaona maajabu
Tusikate tamaa, tumwombe Mungu kila siku
Na tutaona maajabu
Haleluya, Haleluya
CHORUS
Wote: Na utaona maajabu,na utaona maajabu x6
Solo: ??Na utaona, mungu habadiliki
Solo:? Na utaona? Ukimwomba Mungu
Solo:? Na utaona , maajabu
?Solo: Na utaona
?Solo: Mungu wetu ana uwezo
?Solo:? na utaona
?Solo: Nguvu zake za milele
?
Solo: Na utaona,
?Solo: usikate tamaai
?Solo: na utaona , na utaona, na utaona
?Solo:? Omba omba tu x 3 Omba baba, haleluya
?Solo :Omba omba tu ?Haleluya