George Weah Ashinda Uchaguzi Mkuu wa Urais Liberia 2017


30/12/2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ International News



George Tawlon Manneh Oppong Ousman Weah aliyewahi kuwa mchezaji wa Monaco, PSG, AC Milan, (kwa mkopo), Manchester City na Marselile achaguliwa kuwa Rais wa kupitia chama chake cha kisiasa alichokiasisi 2005 kwa jina la Congress for Democratic Change. Weah aliwashinda kwa 61.5% wapinzani wake akiongozwa na makamu wa rais Joseph Boakai aliyepata kura 38.5%.

Kocha Aserne Wenga wa Arsenal ndie aliyemwibua kutoka Tonnerre Yaoundé  kutoka mji wa Younde nchini Cameroun mwaka 1988 
na kumpeleka kwenye ligi za Ulaya wakati huo Arsene Wenga akiifundisha Monaco kabla hajaamia Arsenal. Wenga alimpenda sana kama kijana wake na alimpa upendelea mkubwa sana na kumsaidia mpaka akafikia viwango na jina alilonalo sasa. Weah hatamsahau kabisa Wenga kwani japokuwa wakati huo ubaguzi wa rangi ulikuwa kwenye peak duniani lakini wenga alimtunza sana kama kijana wake.

Ifuatayo ni Orodha ya vilabu alizochezea ikionyesha mwaka, mechi zlizocheza na magoli aliyofunga

Mwaka Klabu Mechi Alizocheza (Magoli)
1985–1986 Mighty Barrolle 10 (7)
1986–1987 Invincible Eleven 23 (24)
1987 Africa Sports 2 (1)
1987–1988 Tonnerre Yaoundé 18 (14)
1988–1992 Monaco 103 (47)
1992–1995 Paris Saint-Germain 96 (32)
1995–2000 AC. Milan 114 (46)
2000  (Mkopo) 11 (3)
2000 Manchester City 7 (1)
2000–2001 Marseille 19 (5)
2001–2003 Al Jazira 8 (13)
Jumla 411 (193)
1987–2003 Timu ya Taifa ya 60 (22)

* Idadi ya magoli alizofunga na mechi alizocheza zimehesabiwa kwa ligi za ndani tu.

Vikombe Alizoshinda

Vikombe alizoshinda George Weah on Jewajua

Kutoka Mitandaoni

George Weah Wins Liberia Election, Unofficial Results Show – New York Times

http://news.google.com Thu, 28 Dec 2017 22:44:22 GMT

New York TimesGeorge Weah Wins Election, Unofficial Results ShowNew York TimesMONROVIA, — For decades, has waited through war and strongmen for a peaceful democratic transfer of power. On Thursday, as the last ballots in a presidential election were being tallied, that appeared to be on the verge of happening … elected Liberian presidentBBC NewsGeorge Weah: The soccer great close to clinching Liberian presidencyCNNLiberia Elects Soccer Star Its Next PresidentNPRReuters?-USA TODAYall 945 news articles?»

Read more …

 

George Weah: From football star to Liberia president – Aljazeera.com

http://news.google.com Fri, 29 Dec 2017 12:19:17 GMT

Aljazeera.comGeorge Weah: From football star to Liberia presidentAljazeera.comAs a footballer, George Weah won accolades few could hope for, picking up the Ballon d’Or and seizing African Footballer of the Year on multiple occasions, alongside a raft of team honours. Fewer still would dare dream of leading their countries; but …Ex-soccer star George Weah under pressure to deliver after dominant election win in LiberiaThe Straits TimesFormer Islander and soccer star George Weah elected president of LiberiaSILive.comAfrica’s Donald Trump? US President Isn’t the only Political Outsider to Hit the Big TimeNewsweekDaily Nation?-Chicago Tribune?-The Japan Times?-Deutsche Welleall 260 news articles?»

Read more …

Comments