………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

Uongozi wa chuo cha Shinyanga (ESIS) unakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa ili kusoma kozi diploma , gesi mafuta

Kozi zitolewazo:

  1. Utafutaji Jiolojia Uchimbaji wa (Exploration and Mining Geology)
  2. Utafutaji wa Mafuta Gesi (Petroleum Geology)
  • Chuo kipo ndani mgodi wa Mwadui na kimesajiliwa na NACTE kwa namba ya usajili reg/eos/041.
  • Sifa Mwombaji: Awe amemaliza kidato cha nne kwa ufaulu wa angalau D ya manne
  • Fomu maombi zinapatikana katika tovuti ya chuo, ofisi za chuo zilizopo Ndala-Shinyanga, Chuo Kikuu Huria-Shinyanga, Mwadui, Vituo maalum zilizoko Mwanza na Arusha
  • za hostel zipo kwa watakaowahi kuomba
  • Mwisho wa kutuma maombi ni 30 Mei 2015
  • yanatarajiwa kuanza tarehe 10/08/2015.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na chuo, Simu: 0785163274/ 0769426401. Au tuandikie email: [email protected] AU tembelea tovuti ya chuo www.esis.ac.tz

Wote mnakaribishwa sana