Does this listing belong to your company? Click here to claim this listing.

Nafasi za Masomo Chuo cha Madini Januari 2013

  • Nafasi za Masomo Chuo cha Madini Januari 2013
  • Nafasi za Masomo Chuo cha Madini Januari 2013
  • Nafasi za Masomo Chuo cha Madini Januari 2013
ToolBox

2,112 Views

0 Comments

Print this page

Add Favorites

You are Viewing Nafasi za Masomo Chuo cha Madini Januari 2013 Listing

About Nafasi za Masomo Chuo cha Madini Januari 2013 on Arusha City

Chuo cha madini Shinyanga kinatangaza nafasi za masomo kwa muhula wa Januari 2013 katika ngazi ya cheti na stashahada katika fani ya utafutaji na jiolojia ya uchimbaji wa madini (CERTIFICATE AND DIPLOMA IN EXPLORATION AND MINING GEOLOGY)

  • Chuo kipo ndani ya MGODI WA MWADUI na kimesajiliwa na NACTE kwa namba REG/EOS/041P.
  • Ada pamoja na malazi kwa mwaka ni 1,850,000/= .
  • Fomu za maombi zinapatikana katika ofisi za chuo zilizopo Ndala block HH No.91 Shinyanga  mjini.
  • Pia fomu zinapatikana katika tovuti yetu ya www.esis.ac.tz
  • Maombi yameanza kupokelewa 15/11/2012 hadi 20/12/2012.
  • Masomo yataanza (second enrollment) 03/01/2013.
  • Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea  ukurasa huu “application process” au wasiliana nasi kwa  namba hizi hapa

 

distance:
Address Shinyanga, Tanzania
Category
Keywords     
Your Name *
Your Email *
Your Phone
Your Message *
What is the sum of: *

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


*


You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

2 + 0 =